hii ni km 50 kutoka msitari wa mbele wa mapigano ..nadhani haya ni matokeo ya silaha ambazo Ukraine wamezipokea hivi karibuni ikiwamo HIMARS yenje uwezo wa kushambulia KM 80 waliopewana marekani pic.twitter.com/lXzKXbfsMK

— 🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺 (@vitayaukraine) June 27, 2022